Mwana Ilala na Dar-Es-Salaama mashuuri, maarufu Bi. SITU MWASA amefariki dunia siku ya jumanne Machi 7, 2017, marehemu Bi. Sita Mwasa Kipenzi na mtu wa watu aliyekuwa msatari wa mbele kila wakati katika shughuli za kijamii hapa jijini Dar-es-salaam atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika jamii hapa ILALA na jiji zima la Dar-Es-Salaam, ameshika nyadhifa mbali mbali katika jamii pia akiwa kada mashuuri wa chama tawala CCM. mara ya mwisho marehemu Bi. Situ Mwasa aliandika katika ukurasa wake wa Facebook (bofya hapa) kuwa anaumwa majeraha kutoka na ajali ya kupinduka na gari, lakini hatujui nini kilichosababisha kifo chake,
Mwenyezi Mungu amlaze pema peponi.
Innah Lillah wa Innah Lillah Rajiun
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...