Inna lilahi wainna ilyhi raajiun, Napenda kuwapa taarifa za kifo cha Bi Nuru Bint Daudi (Mama yake na Yusuf Kikwete) kilichotokea usiku wa kuamkia leo hospitali ya Taifa Muhimbili.
Mazishi yamepangwa kufanyika kesho jumatano saa saba mchana, Bagamoyo Mjini Mkoani Pwani.
HAKIKA SISI NI WA MWENYEZIMUNGU NA KWAKE TUTAREJEA.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...