Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto) akizungumza
na Kiongozi wa Kikosi cha Mipaka kutoka nchini Uingereza, Richard Lloyd,
wakati kiongozi huyo na ujumbe wake walipomtembelea Waziri Mwigulu, jijini
Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya
Uingereza na Tanzania.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati) akimsikiliza
Kiongozi wa Kikosi cha Mipaka kutoka nchini Uingereza, Richard Lloyd (wapili
kulia), wakati kiongozi huyo na ujumbe wake walipomtembelea Waziri Mwigulu,
jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano
kati ya Uingereza na Tanzania. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...