Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto meza kuu)
akizungumza na Watendaji Wakuu wa Wizara yake wakati wa Kikao cha Kujadili
Utekelezaji wa Mpango na Bajeti wa Mwaka 2016/2017 na Malengo ya Mwaka
2017/2018. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao
Makuu ya Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam leo. Kulia meza kuu ni Katibu Mkuu
wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest
Rwegasira akizungumza na Watendaji Wakuu wa Wizara wakati wa Kikao cha
Kujadili Utekelezaji wa Mpango na Bajeti wa Mwaka 2016/2017 na Malengo ya
Mwaka 2017/2018. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto meza kuu)
akimsikiliza Kamishna wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga
wakati wa Kikao cha Kujadili Utekelezaji wa Mpango na Bajeti wa Mwaka
2016/2017 na Malengo ya Mwaka 2017/2018. Kikao hicho kilifanyika katika
Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, jijini Dar es Salaam
leo. Kulia meza kuu ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest
Rwegasira. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...