Umetimiza
miaka 10 na siku 14 toka mwenyezi mungu alipokuchukua katika hospitali
ya regency dsm tarehe 05/04/2007 siku ya alhamisi kuu.
Unakumbukwa sana na mkeo mama Helena D. Ndege, wanao: Esaka D. N. Mugasa, James, Lawi, Anna, Mary, Lucy, Catherine, Tabu, Vicent, Joseph, Mwavisu, wanao wengine wote, Wajukuu, Vitukuu, ndugu, Jamaa, marafiki, wanafunzi wako, waalimu wenzio na majirani.
Unakumbukwa
pia kwa mchango wako mkubwa wa elimu hapa nchini toka ulipofungua shule
ya msingi sirari mwaka 1954 ukiwa mwl. mkuu, na baadaye kufundisha
katika shule za utegi, abainano, marasibora na wanyere. sisi tulikupenda
sana lakini mungu alikupenda zaidi.
Jina la Bwana lihimidiwe. Amen.
Misa
ya kumwombea marehemu imefanyika leo tarehe 18/04/2017 saa 4.00 asubuhi
nyumbani kwake shinyanga mjini - mtaa wa lubaga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...