Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa nyumbani kwake mjini Dodoma akiwa njiani kuelekea mkoani Iringa kuzindua kikosi kazi cha Taifa cha bonde la mto Ruaha Mkuu.
Home
Unlabelled
MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AKUTANA NA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA JIJINI DAR LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...