Mkuu wa Wizara ya Paspoti za Ndani na Shirika la Uandikishaji wa Raia wa Jamhuri ya Sudan, Luteni Jenerali Awad Al Neil Dahia, (katikati) akikabidhi hedaya kwa Kaimu Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Hannelore M. Manyanga,  baada ya kikao ambacho Maafisa Uhamiaji toka Vitengo vya TEHEMA na Udhibiti wa Mipaka waliwasilisha mbinu anuai za kudhibiti Wahamiaji.
Naibu Kamishna wa Uhamiaji, Fulgence Mutarasha, Mfawidhi wa Kituo cha Uhamiaji Uwanja wa Ndege Mwl. JK Nyerere akitoa maelezo ya Utendaji wa Shughuli za Kiuhamiaji kwa mgeni wake, Mkuu wa Wizara ya Paspoti za Ndani na Shirika la Uandikishaji wa Raia wa Jamhuri ya Sudan, Luteni Jenerali Awad Al Neil Dahia, (katikati)  ambaye alisindikizwa na Maafisa toka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Shirika la Uhamiaji la Kimataifa, IOM, Tanzania. 
1.   Mkuu wa Wizara ya Paspoti za Ndani na Shirika la Uandikishaji wa Raia wa Jamhuri ya Sudan, Luteni Jenerali Awad Al Neil Dahia, (katikati)  akipitishwa eneo la Kuwasili Abilia ndani ya Uwanja wa Ndege Mwl. J.K Nyerere alipotembelea Kituo cha Uhamiaji uwanjani hapo  kujifunza shughuli za Uhamiaji Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...