Mama Anatolia Nseka enzi za uhai wake
 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mama Anatolia Nseka kuingiza nyumbani kwake Tabata Barakuda jijini Dar es Salaam jana baada ya kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ulikokuwa umehifadhiwa baada ya kufariki dunia Tarehe 30-8-2017 katika hospitali hiyo alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Mama Nseka mazishi yake yanatarajiwa kufanyika leo Makaburi ya Kinyerezi.
 Baadhi ya ndugu zake mama Nseka wakilia baada ya mwili huo kuwasili nyumbani kwake. Hakika ni huzuni kubwa kumpoteza mpendwa wetu.

 Mwili ukiingizwa ndani.
 Ni huzuni kubwa.
Jeneza likiingizwa nyumbani kwake.
Picha na DottoMwaibale

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...