Mdau
wa Globu ya Jamii Ndugu Ally Nyambi akifurahia baada ya kumvika Pete
mchumba wake Bi.Eunice John Mwakang’ata huko maeneo ya Jacaranda jijini Mbeya.
Mdau wa Globu ya Jamii Ndugu Ally Nyambi akila pozi na mchumba wake Bi.Eunice John Mwakang’ata baada ya hafla hiyo ya kumvisha pete
Mdau wa Globu ya Jamii Ndugu Ally Nyambi akila pozi na mchumba wake Bi.Eunice John Mwakang’ata baada ya hafla hiyo ya kumvisha pete.
Mdau wa Globu ya Jamii Ndugu Ally Nyambi akila pozi na mchumba wake Bi.Eunice John Mwakang’ata na mzaa chema baada ya hafla hiyo ya kumvisha pete. Uongozi wa Michuzi Blog unawatakia wapendanao hawa maandalizi mema ya siku yao ya kumeremeta.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...