Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Maparoko kutoka Wilayani Ruangwa, wakati alipo waalika kwa ajili ya chakula cha usiku ku kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Septemba 08, 2017. Viongozi hao walimtembelea na kumuaga wakiwa katika maandalizi ya kwenda hija nchini Israel, Jordan na Misri Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Home
Unlabelled
Maparoko kutoka Wilayani Ruangwa wamtembelea Waziri Mkuu Kassim majaliwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...