Mkurugenzi wa Barabara toka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Mhandisi John Ngowi akielezea jambo wakati wa kongamano la pili la majadiliano
kuhusu uanzishwaji wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT) leo Jijini Dar es Salaam.
Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Kampuni ya EcomResearch ambayo ndio mshauri
mwelekezi wa uanzishwaji wa taasisi hiyo Profesa Godwin Mjema na Mkurugenzi
Msaidizi wa Utawala toka wizara hiyo Bw. Stephen Mushi.
Mwenyekiti wa Kampuni ya EcomResearch ambayo ndio mshauri mwelekezi wa
uanzishwaji wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT), Profesa Godwin Mjema
akifafanua jambo wakati wa kongamano la pili la majadiliano kuhusu uanzishwaji wa
taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi wa Barabara toka Wizara
ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi John Ngowi na Mkurugenzi Msaidizi wa
Utawala toka wizara hiyo Bw. Stephen Mushi.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Bi. Segolena Francis akifafanua jambo wakati wa kongamano la pili la
majadiliano kuhusu uanzishwaji wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT) leo Jijini
Dar es Salaam.
Mtaalamu wa Utafiti kutoka Kampuni ya EcomResearch ambayo ndio mshauri
mwelekezi wa uanzishwaji wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT),akifafanua jambo
wakati wa kongamano la pili la majadiliano kuhusu uanzishwaji wa taasisi hiyo leo
Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Barabara toka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Mhandisi John Ngowi (wanne kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wadau
wa sekta ya ujenzi mara baada ya kufungua kongamano la pili la majadiliano kuhusu
uanzishwaji wa Taasisi ya Teknolojia ya Ujenzi (ICoT) leo Jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...