Mwandishi wa habari mkongwe na aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya katika Serikali ya awamu ya nne, Muhingo Rweyemamu amefariki dunia asubuhi ya leo baada ya kusumbuliwa na maradhi ya tumbo na mapafu kwa muda mrefu.

Taarifa zaidi zitafuata baadaye kadri zitakavyotufikia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...