Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji anatoa pole kwa Maafisa, Askari na
Watumishi wote wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Nchini, familia ya Marehemu na
wale wote walioguswa na msiba huu kwa namna tofauti tofauti.
Jeshi
la Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na familia ya Marehemu linaendelea
kuratibu shughuli za msiba huo na taarifa za Mazishi zitatolewa baadaye baada
ya taratibu zote kukamilika.
Mwenyezi
Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi
Amina.
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA
ELIMU KWA UMMA-JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...