Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon
Sirro, akiwasili uwanja wa ndege wa Njombe, kwa ziara ya kikazi ya siku moja
akitokea mkoani Ruvuma, ili kuzungumza na maafisa na askari wa Jeshi hilo pamoja na kuona
changamoto wanazokutana nazo wanapotekeleza majukumu yao na namna ya kuwasaidia.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon
Sirro, akikagua gwaride maalumu lililoandaliwa kwa ajili yake alipowasili mkoa
Njombe, kwa ziara ya kiazi ya siku moja
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...