Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini (IGP) Simon Sirro, akizungumza na wananchi wa eneo la Lizaboni wilaya ya
Songea mkoani Ruvuma, na kuwataka kuendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi hilo na
kutii sheria za nchi pamoja na kuwafichua wahalifu waliopo kwenye jamii, IGP
Sirro, yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

Askari wa kikosi maalumu
cha kupambana na uhalifu na wahalifu katika mkoa wa Ruvuma, wakimsikiliza Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, na kuwataka kufanyakazi kwa
kuzingatia sheria na taratibu pamoja na kutimiza wajibu wao wa kutenda haki
wanapotekeleza majukumu yao ya kazi za Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini (IGP) Simon Sirro (watatu kulia kwenye meza kuu) na Mkuu wa mkoa wa
Ruvuma, Binilith Mahenge, wakiwa kwenye
kikao cha pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa huo, IGP
Sirro, yupo mkoani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku moja yenye lengo
la kuzungumza na Maofisa na askari na kuona changamoto zao ikiwa pamoja na
kuwakumbusha wajibu wao wa kutenda haki na kutoa huduma bora kwa wananchi

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...