FAMILIA
YA MAREHEMU MZEE MOHAMED NASSOR KISSOKY NA FAMILIA YA MAREHEMU BRIGEDIA
JENERALI JUMA MOHAMED PONGWE TUNATOA SHUKRANI ZETU ZA DHATI KWA NDUGU
JAMAA NA MARAFIKI NA WOTE MLIOTUFARIJI NA KUSHIRIKIANA NASI KWA NJIA
MOJA AU NYINGINE WAKATI WA MARADHI NA KATIKA MSIBA WA MPENDWA WETU DA
BEBBY MARIAM JUMA PONGWE.
SI RAHISI KUMSHUKURU KILA MTU MMOJA MMOJA.
TUNAOMBA
MPOKEE SHUKRANI ZETU ZA UPENDO. NASI HATUNA UWEZO WA KUWALIPA ISIPOKUWA
YEYE MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA NDIYE ATAWALIPA KWA KADRI
ATAKAVYOONA INAFAA.AMEENA! TUNAPENDA KUWAFAHAMISHA KUWA HITIMA (DUA) YA
KUMUOMBEA MAREHEMU ITAFANYIKA JUMAPILI 05/11/2017 SAA SABA ADHUHURI.
MWENGE
MLALAKUWA KUPITIA UWANJA WA NGOME SACCOS KUELEKEA MAKAZI YA RAIA.
KUTAKUWA NA MABANGO YA KUELEKEZA. "INNA LILLAH WA INNA ILLAH RAJ'IUN".
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...