Wajumbe
wa Baraza la Wafanyakazi wa Serikali kuu na Afya (TUGHE) tawi la
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja mara
baada ya uzinduzi wa baraza hilo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mkutano
wa kuzindua baraza la Wafanyakazi wa Serikali kuu na Afya (TUGHE) tawi
la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ukiendelea.
Picha na JKCI
Mkurugenzi Msaidizi wa Mabaraza kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Andrew
Mwalwisi akizindua baraza la Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya
(TUGHE) tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) leo jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya JKCI Prof. William
Mahalu na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed
Janabi.
Mkurugenzi Msaidizi wa Mabaraza kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Andrew
Mwalwisi akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa baraza la Wafanyakazi wa
Serikali Kuu na Afya (TUGHE) Tawi la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) Restituta Rugaganya mara baada ya kuzindua baraza hilo leo.
Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi.
Mkurugenzi Msaidizi wa Mabaraza kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Andrew Mwalwisi akimpongeza Katibu
wa baraza la Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) Tawi la
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Samweli Rweyemamu mara baada
ya kumkabidhi vitendea kazi wakati wa uzinduzi wa baraza hilo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...