Mkuu wa jeshi la polisi nchini TANZANIA, IGP SIMON SIRRO amesema wahalifu wote watafute sehemu ya kukimbilia.
Amesema hayo wakati wa ziara yake mkaoni Ruvuma wakati akizungumza na waandishi wa habari akitokea Mtwara
Amesema hayo wakati wa ziara yake mkaoni Ruvuma wakati akizungumza na waandishi wa habari akitokea Mtwara
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...