Katibu
wa Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa Kamati Maalumu ya
Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi, Mhandisi Hamad Masauni,
akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa
Wazazi wa chama hicho, mkoa wa Dar es Salaam, mkutano huo umefanyika
leo, katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada, jijini Dar es Salaam. Picha na
Mpigapicha Wetu
Mwenyekiti
anayemaliza muda wake wa Umoja wa Wazazi wa Chama cha Mapinduzi mkoa
wa Dar es Salaam, Angela Kizigha, akizungumza wakati wa Mkutano wa
Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi wa chama hicho, mkoa wa Dar es
Salaam. Kushoto aliyevaa kofia ni Mgeni Rasmi na Katibu wa Idara ya
Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya
Taifa ya Chama cha Mapinduzi, Mhandisi Hamad Masauni. Mkutano huo
umefanyika leo, katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada, jijini Dar es
Salaam.
Katibu
wa Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa Kamati Maalumu ya
Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi, Mhandisi Hamad Masauni
akimkabidhi cheti cha Uongozi , Kiongozi anayemaliza muda wake katika
Jumuiya ya Umoja wa Wazazi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Dar es Salaam,
Ibrahim Mpwapwa (kulia), wakati wa mkutano uliofanyika leo,ukumbi wa
Hoteli ya Lamada, jijini Dar es Salaam.
atibu
wa Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa Kamati Maalumu ya
Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi, Mhandisi Hamad Masauni
(kulia), akipiga makofi baada ya kuwasili katika Mkutano wa Uchaguzi wa
Jumuiya ya Umoja wa Wazazi wa chama hicho,mkoa wa Dar es Salaam,
Mkutano huo umefanyika leo Hoteli ya Lamada, jijini Dar es Salaam.
Wajumbe
wa Mkutano wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi wa Chama cha
Mapinduzi,mkoa wa Dar es Salaam, wakishangilia wakati Katibu wa Idara ya
Siasa na Uhusiano wa Kimataifa wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya
Taifa ya Chama cha Mapinduzi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani),
akizungumza katika mkutano huo uliofanyika leo, ukumbi wa Hoteli ya
Lamada, jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...