Mbunge wa Wilaya ya Ileje, Janet Mbeneakizungumza wakati wa Uzinduzi wa Nambene Cup inayoshirikisha timu za Wilaya nzima kutoka kila Kata ambapo Mbunge huyo ametoa ufadhili wa Jezi na Zawadi ya Mshindi wa kwanza mpaka wa tatu wafungaji bora.

Mbunge wa Ileje akisalimia timu zilizojitokeza kushiriki Nambene Cup aliyoiandaa katika Wilaya yake kama hatua za kukuza michezo na kuleta Umoja kwa Jamii
Wachezaji wa Timu Mbalimbali zinazoshiriki Nambene Cup wakiwa uwanjani wakijandaa kwa ajili ya mchezo wa ufunguzi
Wacheaji wa timu zilizoshiriki uzinduzi wa Nambene Cup wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mchezo wa ufunguzi.

Mbunge wa Ileje Janet Mbene akifurahi wa na Watoto waliofika katika uzinduzi wa Nambene Cup
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...