Kampuni ya zara tours ya mkoani Kilimanjaro imeratibu mabalozi 13 wa Tanzania wanaowakilisha nchi tofauti tofauti kupanda mlima kilimanjaro kupitia Marangu . Idadi yao wakiwa. Wageni hawa wamepokelewa na Mkurugenzi wa East Point hotel ya Moshi tanzania, Bw. Rashid Adam akimuwakilissha Mama Zainab Anslem maarufu kama Mama Zara ambaye ni CEO wa Zara Tours ya mjini Moshi.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghilwa na Mkuu wa wilaya ya Moshi Mhe. Kippi Walioba wakikaribisha mabalozi 13 wa Tanzania wanaowakilisha nchi tofauti tofauti kupanda mlima kilimanjaro kupitia Marangu chini ya uratibu wa Zara Tours
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghilwa na Mkuu akimkabidhi kiongozi wa mssafara bendera ya Taifa kabla mabalozi 13 hao wa Tanzania wanaowakilisha nchi tofauti tofauti kupanda mlima kilimanjaro kupitia Marangu chini ya uratibu wa Zara Tours
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghilwa na Mkuu wa wilaya ya Moshi Mhe. Kippi Walioba wakiagana na mabalozi 13 wa Tanzania wanaowakilisha nchi tofauti tofauti kupanda mlima kilimanjaro kupitia Marangu chini ya uratibu wa Zara Tours
Mkurugenzi wa East Point hotel ya Moshi Tanzania, Bw. Rashid Adam akiwa na Balozi Dkt. Aziz Mlima kabla ya kuanza safari hiyo
Mkurugenzi wa East Point hotel ya Moshi Tanzania, Bw. Rashid Adam akiwa na kiongozi wa msafara kabla ya kuanza safari hiyo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...