Mbunge wa Songea Mjini (CCM) Mhe.Dkt.Damas Daniel Ndumbaro akila kiapo cha uaminifu mbele ya Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson (hayupo pichani) wakati wa kikao cha kwanza cha mkutano wa kumi ulionza leo Mkoani Dodoma.
Mbunge wa Singida Kaskazini Mhe.Monko Justine Joseph akila kiapo cha uaminifu mbele ya Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson wakati wa kikao cha kwanza cha mkutano wa kumi ulionza leo Mkoani Dodoma.
Mbunge wa Longido Mhe.Dkt.Stephano Lemomo Kiruswa akila kiapo cha uaminifu mbele ya Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson wakati wa kikao cha kwanza cha mkutano wa kumi ulioanza leo Mkoani Dodoma.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...