Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Pamba, Marco Mtunga (watatu kulia) kuhusu zao la pamba lililostawi vizuri wakati alipotembelea shamba darasa katika kijiji cha Kilyaboya wilayani Kwimba Februari 16, 2018. Wanne kulia ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella na kushoto ni Afisa Kilimo wa wilaya ya Kwimba, Magreth Kavalo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la pamba la Bw. Dotto Masomi (kushoto) katika kijiji cha Solwe wilayani Kwimba Februari 16, 2018, Kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Kwimba Mtemi Simon Msafiri.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza, Dotto Masomi baada ya kutembelea shamba la pamba la mkulima huyo katika kijiji cha Solwe wilayani Kwimba na kufurahishwa na ubora wa shamba hilo Februari 16, 2018. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...