Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la Hospitali ya
Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema akiwa katika siku ya kwanza ya
ziara ya mkoa wa Mwanza Februari 15, 2018 .Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa
Mwanza, John Mongella na kulia ni Mbunge wa Buchosa na Waziri wa Kilimo,
Dkt. Charles Tizeba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...