Bi Mwatumu Jasmine Malale wa Regent Estate Mikocheni Dar es Salaam anasikitika kutangaza kifo cha mdogo wake Munga Shabani Mtengeti kilichotokea nyumbani kwake Mlingotini Close Regent Estate jijini Dar es salaam jana tarehe 10/03/2018.
Mazishi yanatarajia kufanyika siku ya Jumanne baada ya salatul dhuhur nyumbani kwake Bi. Mwatumu Jasmine Malale. Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.
Inna lillahi wa inna illahi rajiun
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...