Waziri
wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu
akitoa udongo wakati wa uchimbaji wa msingi katika ziara yake ya
ufunguzi wa kituo cha Afya cha Mtura kata ya Lubanda wilaya ya Ileje.
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu
akiendelea na ukaguzi wa ujenzi wa kituo cha Afya Mtura kilicho katika
kata ya Lubanda Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu
akielekea eneo la gari lililokwama kutokana na changamoto ya Barabara,
wakati akiwa katika ziara yake ya ufunguzi wa kituo cha Afya cha Mtura
kata ya Lubanda wilaya ya Ileje. Kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Ileje Haji Mnasi.Kushoto ni Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt. Kheri Kagya
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu
akisisitiza jambo mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Ileje na watumishi wa
Serikali (hawapo kwenye picha) wakati akiwa katika ziara yake ya
ufunguzi wa kituo cha Afya cha Mtura kata ya Lubanda wilaya ya Ileje.
Wananchi
wa kata ya Lubanda katika kijiji cha Mtura wilaya ya Ileje wakimsalimia
Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy
Mwalimu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...