
WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed akiangalia huduma mbalimbali zilizokua zikitolewa kituoni hapo.
MWAKILISHI wa Shirika la Afya Ulimwenguni WHO Dkt Ghirmay Andemichael akizungumza katika maadhimisho hayo
WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed akiwahutubia wananchi mbalimbali waliohudhuria katika maadhimisho hayo yaliofanyika katika Kijiji cha Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Kutokana na mvua iliokua ikiendelea kunyesha Waandishi wa Habari hawakua nyuma kuchukua habari katika maadhimisho hayo.
MKUU wa Wilaya ya Kaskazini ‘A’ Unguja Hassan Ali Kombo akitoa shukurani kwa Wizara ya Afya Zanzibar ilivyo ichagua Wilaya yake Kufanya maadhimisho ya mwaka huu.
WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed watatu kutoka kushoto akipiga picha ya pamoja na wageni mbalimbali.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...