Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kulia akipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa ZBC Ali Aboud wakati akitembelea sehemu ya mitambo ya ZBC Redio katika Ziara maalum ya kutembelea Idara mbalimbali za Wizara hio Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kulia akizungumza ndani ya Studio ya Spice FM Radio ilioko Rahaleo wakati akiwa katika Ziara maalum ya kutembelea Idara mbalimbali za Wizara hio Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akitoa maelekezo kwa Waandishi wa Habari wa ZBC Radio ilioko Rahaleo wakati akiwa katika Ziara maalum ya kutembelea Idara mbalimbali za Wizara hio Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akifahamisha jambo alipokuwa katika ziara yake katika Kitengo cha ZMUX ambacho kinahusika na uuzaji wa Vin'gamuzi Rahaleo mjini Zanzibar .
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kushoto akipata maelezp kutoka kwa Muhandisi Mkuu wa Zmux Noura Decosta wakati akitembelea katika Kitengo cha ZMUX ambacho kinahusika na uuzaji wa Vin'gamuzi Rahaleo mjini Zanzibar .
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kulia akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Hassan Vuai wakati akitembelea Idara hio Rahaleo mjini Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI./MAELEZO ZANZIBAR.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...