Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Watafiti wa Mazao ya Kilimo kutoka Kituo cha Utafiti cha Mikocheni jijini Dar es salaam, Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA) na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania, kwenye makazi yake jijini Dar es salaam Julai 11, 2018. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga na Wa pili kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Bw. Japhet Justine.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Home
Unlabelled
MAJALIWA AKUTANA NA WATALAAMU WA UTAFITI WA MAZAO YA KILIMO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...