Wafanyakazi wa benki ya Exim Tanzania wakikata keki kuadhimisha miaka 21 ya huduma za benki hiyo nchini wiki iliyopita katika tawi la Samora Avenue. Kutoka kushoto ni mkuu wa shughuli za matawi, Eugen Masawe, Afisa wa benki- mafunzo na maendeleo, Melkiada Makongela na manager utoaji huduma mbadala, Mita Shah.
Mkuu wa rasilimali watu wa Exim Bank Tanzania akiongea na wafanyakazi wa benki hiyo wakati wa maadhimisho ya miaka 21 ya kutoa huduma nchini wiki iliyopita katika tawi la Samora Avenue.
Wafanyakazi benki ya Exim benki.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...