Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia) akipokelewa na Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Emmanuel Nleyi (kushoto) alipowasili
mkoani humo, leo. Waziri Lugola yupo safarini akielekea mkoani Kigoma
kikazi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati) akiwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Emmanuel Nleyi (kulia), pamoja Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani humo, SP Nestory Didi. Waziri Lugola yupo safarini akielekea mkoani Kigoma kikazi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...