

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na
Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, akitoa mada ya umuhimu wa
mawasiliano ya kimkakati mbele ya viongozi mbalimbali wa mkoa wa Simiyu.
Kwenye wasilisho lake amesisitiza kutangaza na kutetea mageuzi
yanayofanywa na Serikali ya amamu ya tano.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na
Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akiwa na Mkuu wa Mkoa wa
Simiyu, Mheshimiwa Anthony Mtaka pamoja na viongozi wengine wa mkoa huo
waliohudhuria kikao cha uwasilishaji wa mada iliyohusu umuhimu wa
mawasiliano ya kimkakati katika kutangaza ahadi za serikali.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na
Msemaji wa Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akibadilishana mawazo na
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, mheshimiwa Anthony Mtaka (katikati) na Katibu
Tawala wa mkoa huo Jumanne Sagini.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...