Kamishna
Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike ambaye pia ni Mlezi wa Magereza
SACCOS nchini akitoa hutuba ya ufungaji wa Mkutano Mkuu wa sita wa
Mwaka wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Watumishi wa Jeshi la
Magereza Tanzania Bara. Mkutano huo unaofanyika kwa siku mbili leo
Oktoba 30, 2018 jijini Dodoma. 
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa sita wa Mwaka wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Watumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara wakimsikiliza Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike(hayupo pichani) ambaye pia ni Mlezi wa Magereza SACCOS nchini .
Wanachama mbalimbali wa Saccoss ya Magereza wakiwa mbele ya wajumbe wakati wa uchaguzi wa Mjumbe wa Bodi ya Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Watumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara katika Mkutano huo.
Wajumbe wa Sekretarieti ya Mkutano Mkuu wa sita wa Mwaka wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Watumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara wakifuatilia ufungaji wa Mkutano huo.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike(katikati) ambaye pia ni Mlezi wa Magereza SACCOS nchini akiondoka ukumbini mara baada ya ufungaji wa Mkutano, aliyeambatanaye ni Mwenyeketi wa Bodi ya Magereza Saccos, SACP. Mbaraka Semwanza(kushoto). Kulia ni Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu, Gaston Sanga(Picha zote na Jeshi la Magereza).

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...