Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ndugu Hisham Hendi (kulia) akimuhudumia mmoja wa wateja aliyefika kupata huduma kituo cha Makao Makuu ya Ofisi za Vodacom Tanzania jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Harieth Lwakatale
(kulia) akiwakabidhi zawadi baadhi ya wateja wa mtandao huo walio jiunga
siku ya kwanza na yapili mtandao huo ulipoanzishwa nchini Tanzania.
Wateja hao wa kwanza walipata fursa ya kutembelea na kujifunza shughuli
za Vodacom Tanzania ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
Mkurugenzi
wa Huduma kwa Wateja wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Harieth Lwakatale
(kulia) akimkabidhi zawadi mmoja wa wateja wa mtandao huo walio siku ya
kwanza na yapili mtandao huo ulipoanzishwa nchini Tanzania. Wateja hao
wa kwanza walipata fursa ya kutembelea na kujifunza shughuli za Vodacom
Tanzania ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...