Pichani
kulia ni Mheshimiwa Jaji Mkuu Prof Ibrahim Hamis Juma akiwa sambamba na
Mheshimiwa Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Othman Chande (kushoto)
walipokwenda kumtembelea mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi Ben
Mashiba nyumbani kwake jana jijini Blantyre,nchini Malawi.
Majaji wakuu nchi za kusini mwa Afrika wakiwa katika picha ya pamoja,wakati wa Mkutano wao Mjini Lilongwe nchini Malawi




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...