Mkuu
wa wilaya ya Temeke Mhe. Felix Lyaniva akikimbia za mbio KM 10 za
Kigamboni mapema leo eneo la Fun City jijini Dar es Salaam. Pembeni yake
ni Ofisa Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni Rahel Mhando
(kushoto).
Wakimbiaji wa KM 41 wakifukuza upepo katika mchuano mkali.
Kila
mmoja akionyesha umahili wake wa kufukuza upepo katika mbio za
Kigamboni International Marathon 2018 zilizofanyika Kigamboni jijini Dar
es Salaam.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...