
Mkurugenzi wa Idara ya Habari
MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akikabidhi cheti
kwa wahitimu waliofanya vizuri katika vitengo mbalimbali kutoka Chuo
cha Uandishi wa Habari (Dar es Salaam School of Journalism) ,DSJ katika
mahafli ya 23 ya chuo hicho iliyofanyika leo 20 Desemba, 2018 katika
ukumbi wa chuo hicho kilichopo Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari
MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi( watatu kushoto
aliyeshika maiki) akiwatunuku vyeti vya kumaliza Stashahada na
Astashahada ya Uandishi wa Habari wanafunzi kutoka Chuo cha Uandishi wa
Habari (Dar es Salaam School of Journalism) DSJ, mahafali ilifanyika
leo chuoni hapo

Wahitimu wa Stashahada na
Astashahada ya Uandishi wa Habari kutoka Chuo cha Uandishi DSJ wakivaa
Kofia zao mara baada ya kutunukiwa vyeti vyao katika mahafali
iliyofanyika leo chuoni hapo.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari- MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiongea na wanafunzi wahitimu wa stashahada na Astashahada katika fani ya Uadishi wa Habari( hawapo pichani) katika mahafari ya 23 ya Chuo cha Uandishi wa Habari (Dar es Salaam School of Journalism ) DSJ iliyofanyika leo katika ukumbi wa chuo hicho kilichopo Jijini Dar es Salaam, wa pili kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Joachim Rupepo na kushoto ni Rais wa Serikali ya wanafunzi katika chuo hicho Ester Zalamula na Mwalimu kutoka chuo hicho.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiongea na wanafunzi na wazazi katika mahafali ya 23 ya kutunuku stashahada na Asatashaha katika fani ya Uadishi wa Habari DSJ iliyofanyika leo katika ukumbi wa chuo hicho kilichopo Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari
MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan akiwa kwenye picha ya
pamoja na Uongozi wa Chuo cha Uandishi wa Habari (Dar es Salaam School
of Journalism) DSJ pamoja na Walimu wa chuo hicho mara baada ya
kwatunuku vyeti wahitimu 345 wa Stashahada na Astashahada ya Uandishi wa
Habari katika mahafali iliyofanyika leo chuoni hapo.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari
MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akiwaaga
wahitimu na Wazazi mara baada ya kutunuku veyti kwa 345 wa Stashahada na
Astashahada ya Uandishi wa Habari katika mahafali iliyofanyika leo
Desemba 20, 2018, chuoni hapo wapili kulia ni Mkuu wa Chuo hicho
Joachim Rupepo.Picha na Idara ya Habari-MAELEZO
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...