Waziri wa Habari Utalii na Mambo
ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akiwa pamoja na Mshirika wa Maendeleo
Mkurugenzi Mkuu wa DSTV Jacqueline Woiso wakikata utepe kuashiria
ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja
ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Habari Utalii na Mambo
ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kushoto akimkabidhi Mshirika wa Maendeleo
Mkurugenzi Mkuu wa DSTV Jacqueline Woiso zawadi ya Cheti maalum katika
ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja
ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Nyumba ya Walimu wa Skuli ya
Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja iliofunguliwa na Waziri wa
Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo ikiwa ni Shamra
shamra za miaka 55 ya mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Habari Utalii na Mambo
ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na Mshirika wa Maendeleo
Mkurugenzi Mkuu wa DSTV Jacqueline Woiso mara baada ya kuwasili katika
Ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja
ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Waziri wa Habari Utalii na Mambo
ya Kale Mahmoud Thabit Kombo kushoto akimkabidhi Mshirika wa Maendeleo
Mkurugenzi Mkuu wa DSTV Jacqueline Woiso zawadi ya Cheti maalum katika
ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja
ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Waziri wa Habari Utalii na Mambo
ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akitoa hotuba ya ufunguzi wa Nyumba ya
Walimu katika ufunguzi wa Nyumba ya Walimu Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa
Kusini Unguja ikiwa ni Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo
akitoa hotuba ya ufunguzi wa Nyumba ya Walimu katika ufunguzi wa Nyumba
ya Walimu Kizimkazi Mkunguni Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni Shamra
shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...