Ukiwa ndani ya Jijini la Mwanza, Villa Park
Resort ndo kiwanja pekee ya kupata burudani kali kutoka kwa Super Kamanyola kuanzia Jumatano, Alhmamisi, Ijumaa,
Jumamosi na Jumapili huku ukipata vinywaji pamoja na chakula safi kabisa.Na Gervas Mbaya & George Binagi-GB Pazzo BMG
Tazama BMG Online TV hapa chini
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...