Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (TFB), Bi. Joyce Fissoo (kulia) akifafanua jambo kwa Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini CHO, Tae – Ick wakati Balozi huyo alipotembelea ofisi za bodi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na bodi hiyo.
Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini CHO, Tae – Ick (kushoto) akizungumza na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (TFB), Bi. Joyce Fissoo wakati Balozi huyo alipotembelea ofisi za bodi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na bodi hiyo.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (TFB), Bi. Joyce Fissoo (kulia) akifafanua jambo kwa Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini CHO, Tae – Ick (katikati) wakati Balozi huyo alipotembelea ofisi za bodi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na bodi hiyo, kushoto ni Msaidizi wa Balozi Bi.Jiin An.
Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini CHO, Tae – Ick akiangalia moja ya filamu katika maktaba ya bodi ya filamu wakati Balozi huyo alipotembelea ofisi za bodi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na bodi hiyo.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (TFB), Bi. Joyce Fissoo (kushoto) akimkabidhia Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini CHO, Tae – Ick (kushoto) zawadi ya picha za tingatinga wakati Balozi huyo alipotembelea ofisi za bodi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na bodi hiyo, katikati ni Mjumbe wa Bodi hiyo Bw. Keneth Kasigila.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (TFB), Bi. Joyce Fissoo (watatu toka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini CHO, Tae – Ick (wa tatu toka kulia) wakati Balozi huyo alipotembelea ofisi za bodi hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na bodi hiyo.
Picha na WHUSM – Dar es Salaam.








Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...