Kufuatia punguzo la bei ya mafuta kwa Shilingi 70 kwa kila lita, lililotolewa kwenye vituo vya vya mafuta vya Total kama zawadi ya kusherehekea sikukuu ya Wapendanao ya Valentine, mwandishi wa habari hizi alitembelea baadhi ya vituo vya mafuta vya Total, na kufanya mahojiano na baadhi ya madereva hao kuhusu ubora wa mafuta ya Total.
Hawa ni baadhi ya madereva hao na hivi ndivyo wanavyoeleza.
Victor Mabinza anasema “Kwenye mafuta ya Total, wanaongeza kitu kinaitwa Excellium, hivyo ukitumia mafua ya Total, hakuna miss na hata ukiendesha, unaisikia gari nyepesi.

Jubilete Mushi anasema “ Mafuta ya Total, ni mafuta mazuri, ukijaza mafuta ya Total kwenye gari yako, unakwenda umbali mrefu kwa kutumia mafuta kidogo”

Simon Raphael Kameta anasema“ Siku hizi vituo vya mafuta vimekuwa vingi na majina mengi, lakini jina la Total ni jina la muda mrefu, hivyo kuonyesha wana uzoefu wa muda mrefu”

Tumaini Mtey anasema “Mafuta ya Total tofauti na vituo vingine vya mafuta, yana kiambata cha excellium ambacho kinasaidia combustion, hivyo unakwenda umbali mrefu, huku unatumia mafuta kidogo”.

Dereva Taxi, Shabani Jumanne anasema “Ukijaza mafuta katika baadhi ya vituo, unalisikia gari lina miss na ku pink, kuashiria baadhi ya mafuta sio masafi, lakini tangu nimeanza kujaza mafuta vituo vya Total, sijasikia miss wala gari ku pink”

Na Ifkhar Mohammed anasema “Napendelea kuweka mafuta vituo vya Total kwa sababu nawaamini, mafuta yao ni masafi, vituo vyao ni vizuri na huduma zao ni huduma bora”

Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano wa Total, Marsha Msuya Kileo, akizungumzia kiambata hicho, amesema, TOTAL EXCELLIUM ni kiambata kinachoongezwa kwenye Mafuta ya Petroli na dizeli nchini yanayouzwa kwenye vituo vya Total, ambayo huboresha gari lako kwa kutumia Mafuta kidogo, kuboresha injini za magari, na kutoa moshi msafi rafiki wa mazingira.


Amesema "kiambata cha TOTAL EXCELLIUM kwenye Mafuta ya petroli na diseli yanayouzwa kwenye vituo vya Totali kote nchini, kunayafanya mafuta hayo kuwa ni Mafuta bora ya viwango vya kimataifa, hivyo Totali kujikuta inalisaidia taifa kwa kuwawezesha Watanzania kutumia nishati sanifu na rafiki wa mazingira, hivyo kutumia mafuta kidogo, kudumisha injini za magari yao, kutakayoyafanya yadumu zaidi, hivyo kuchangia maendeleo ya taifa. 
Total Tanzania ni kampuni ya Mafuta ya petroli iliingia nchini Tanzania tangu mwaka1969. Biashara ya Total Tanzania inalenga katika kutoa huduma za usambazaji na uuzaji wa mafuta ya petroli, dizeli vilainishi na bidhaa za mafuta, ambayo ni kuuzwa katika vituo mbalimbali vya mafuta na pia katika idara maalum ndani ya wake shirika hilo. Wiki iliyopita, Total ilitoa punguzo la Shilingi 70 katika bei ya mafuta, kama ishara ya upendo kwa Watanzania katika kusherehekea Sikukuu ya Wapendanao, Valentine.
 Dereva Jubilete Mushi,   akihojiwa  kuhusu ubora wa mafuta ya Total, yenye kiambata cha Excellium, mwishoni mwa wiki wakati Kampuni ya Total ilipotoa punguzo la Shilingi 70 katika bei ya mafuta, kama ishara ya upendo kwa Watanzania katika kusherehekea Sikukuu ya Wapendanao, Valentine.
 Dereva wa boda boda Samwel Gasper Kisanga,   kuhusu ubora wa mafuta ya Total, yenye kiambata cha Excellium, mwishoni mwa wiki wakati Kampuni ya Total ilipotoa punguzo la Shilingi 70 katika bei ya mafuta, kama ishara ya upendo kwa Watanzania katika kusherehekea Sikukuu ya Wapendanao, Valentine.  
  Meneja wa Kituo cha Mafuta Total Clock Tower  akizungumzia mwitikio wa wananchi kwenye promotion ya Total Valentine, iliyofanyika mwishoni mwa wiki wakati Kampuni ya Total ilipotoa punguzo la Shilingi 70 katika bei ya mafuta, kama ishara ya upendo kwa Watanzania katika kusherehekea Sikukuu ya Wapendanao, Valentine  
 Meneja wa Kituo cha Mafuta Total Oyster Bay,  akizungumzia mwitikio wa wananchi kwenye promotion ya Total Valentine, iliyofanyika mwishoni mwa wiki wakati Kampuni ya Total ilipotoa punguzo la Shilingi 70 katika bei ya mafuta, kama ishara ya upendo kwa Watanzania katika kusherehekea Sikukuu ya Wapendanao, Valentine   
 Mwitikio wa madereva kwenye promotion ya Total Valentine, katika kituo cha mafuta cha Oyster Bay, iliyofanyika mwishoni mwa wiki wakati Kampuni ya Total ilipotoa punguzo la Shilingi 70 katika bei ya mafuta, kama ishara ya upendo kwa Watanzania katika kusherehekea Sikukuu ya Wapendanao, Valentine  
  Mkurugenzi wa Sheria na Mahusiano wa Total, Bi. Marsha Msuya Kileo, akizungumzia punguzo la sikukuu ya Valentine   iliyofanyika mwishoni mwa wiki wakati Kampuni ya Total ilipotoa punguzo la Shilingi 70 katika bei ya mafuta, kama ishara ya upendo kwa Watanzania katika kusherehekea Sikukuu ya Wapendanao, Valentine  
Network Oparations Manager wa vituo vya Total, William Fillet akizungumzia promotion hiyo ya valentine   iliyofanyika mwishoni mwa wiki wakati Kampuni ya Total ilipotoa punguzo la Shilingi 70 katika bei ya mafuta, kama ishara ya upendo kwa Watanzania katika kusherehekea Sikukuu ya Wapendanao, Valentine 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...