Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb), akisalimiana na watumishi wa
Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kabla ya kuingia katika ukumbi wa
halmashauri hiyo kuzungumza na watumishi. 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb), akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi (hawapo pichani) katika kikao kazi kilichofanyika kwenye ukumbi wa halmashauri hiyo. Kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Lindi, Bi. Rehema Madenge na kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Mhe. Shaibu Ndemanga.
Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Lindi wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) (hayupo pichani) wakati wa kikao kazi kilichofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya Manispaa ya Lindi.
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Mhe. Shaibu Ndemanga akitoa neno la shukrani baada ya kikao kazi kati ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (Mb) na watumishi wa halmashauri ya Manispaa ya Lindi kilichofanyika katika ukumbi wa halmashauri hiyo.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...