Kikundi cha Utamaduni cha vijana Ngoma kutoka Amani Mkoa kikitumbuiza katika Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira Kiboje Wilaya ya Kati Unguja. Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.
Afisa mipango Wilaya ya Kati Ali Omar Makame akitoa hotuba ya makaribisho katika Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira Kiboje Wilaya ya Kati Unguja. Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Kati Mashavu Saidi Sukwa akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira Kiboje Wilaya ya Kati Unguja. Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhurika katika Uzinduzi wa Upigaji Dawa Majumbani Uliofanyika Shehia ya Miwani Uwanja wa Mpira Kiboje Wilaya ya Kati Unguja. Ambapo jumla ya shehia 30 zinatarajiwa kupigwa dawa hiyo.PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...