Mwendesha pikipiki maarufu kama boda boda akiwa amebeba abiria watatu (mshikaki) bila ya kuvaa kofia ngumu (helmet) katika barabara ya Kilwa, jijini Dar es salaam jana. (Picha na Emmanuel Massaka, MMG).
Mkazi
wa jiji la Dar es Salaam akipita jirani
na takataka zilizotupwa kwenye mtaro barabara ya Kilwa.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...