NAIBU Waziri wa Maji Jumaa Aweso ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo
la Pangani (CCM) kushoto akipata futari na Mkurugenzi wa Mamlaka ya
Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi
Geofrey Hilly katikati wakati futari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Maji
Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) kwa ajili ya
wafanyakazi na majirani zao kwa ajili ya kujenga mshikamano na umoja
miongoni mwao.

Afisa Tawala wa wilaya ya Pangani Gispson George kushoto akiwa
na Katibu wa Naibu Waziri wa Maji Lichela katikati na Katibu Tawala wa
wilaya ya Pangani Mwalimu Hassani Nyange wakipata futari hiyo
PRO wa Tanga Uwasa Dorrah Killo akishiriki kugawa futari
Sehemu ya wafanyakazi na majirani wakipata futari hiyo
NAIBU Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesema wizara hiyo
inatarajiwa kupeleka miradi zaidi ya mitatu mikubwa mkoani Tanga kwa
maana ya ile ya miji 28 Tanzania Bara na mmoja wa Visiwani.
Aweso aliyasema hayo leo wakati halfa ya futari iliyoandaliwa na
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa)
kwa ajili ya wafanyakazi na majirani zao kwa ajili ya kujenga
mshikamano na umoja miongoni mwao.
Alisema kwamba miradi hiyo itakwenda kwenye wilaya za Handeni, Muheza
na Pangani ambazo zitanufaika nao ili kuweza kuondosha changamoto za
huduma hiyo zilizopo kwenye maeneo yao .
“Sisi kama Wizara
tumeona kazi nzuri inayofanywa na Tanga Uwasa kwani hivi sasa wanatoka
Tanga Jiji wanaenda maeneo mengine ikiwemo Lushoto wanasimamia miradi,
Muheza na Handeni hivyo sisi tutaongeza nguvu”Alisema Naibu Waziri
huyo
Aidha alisema watahakikisha wanawezeshwa kuhakikisha
miradi hiyo inakamilika ikiwemo kuwasimamia wakandarasi
wanayoitekeleza ili miradi hiyo iweze kutekeleza kwa waledi mkubwa na
hatimaye kuweza kuondosha changamoto zilizopo kwenye maeneo husika.
Awali akizungumza katika futari hiyo Mkurugenzi wa Mamlaka
ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi
Geofrey Hilly alisema hafla hiyo ilikuwa ni kuwafuturisha wafanyakazi
wao waislamu na majirani kwa ajili ya kujenga umoja miongoni mwao.
Alisema kwa sababu wamekuwa wakikaa pamoja kwa umoja lengo
kuwakumbuka waislamu waliofunga kwenye kipindi hiki cha mfungo mtukufu
wa ramadhani kwani suala la kufunga ni muhimu sana kwa ajili ya
kufanya ibada.
Hata hivyo aliwatakia kilala heri waislamu
katika mfungo kwa sababu unawapa nguvu zaidi ya kuishi maisha mema
zaidi na kuweza kushindana na vishawishi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...