Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya ccm kilichofanyika Makao Makuu ya CCM katika ukumbi wa Halmashauri ya ccm jijini dodoma (picha na ikulu)


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea jijini Mwanza ambapo leo tarehe 16 julai 2019 ameendesha Kikao cha Kamati Kuu ya ccm kilichofanyika Makao Makuu ya CCM katika ukumbi wa halmashauri ya ccm jijini dodoma (picha na ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...