Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Akabidhiwa Simu ya TTCL na Mkurugenzi
Mkuu wa Shrika la Simu Tanzania (TTCL), Bwana Waziri Kindamba.leo
Julai /1/2019 Jijini Dar es salaam ,wanao shuhudia kushoto kwa Waziri
Mkuu. ni Meneja wa TTCL Mkoa wa Kinondoni Bibi Janeth Maeda. na kulia
mwisho ni Meneja Huduma wa TTCL Kinondoni Bwana Salim Msalilwa.
PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...