Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mbele ya Wageni waalikwa mbalimbali wakati akifungua maadhimisho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam.
Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali wakifuatilia mkutano wa SADC,ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli mgeni rasmi katika ufunguzi wa maadhimisho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam. Yenye kauli mbiu: Mazingira Wezeshi kwa Maendeleo na Jumuishi ya Viwanda, Kukuza Biashara na Ajira ndani ya Jumuiya.
Katibu Mtendaji Sekretariati ya SADC Dkt Stergomena Tax akizungumzia katika ufunguzi wa maadhimisho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akibadilishana mawazo na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Innocent Bashungwa (kulia) wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mtendaji Sekretariati ya SADC Dkt Stergomena Tax wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Balozi kutoka Zanzibar,Mhe.Amina Salum Ali akizungumza katika ufunguzi wa maadhimisho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam,ambapo ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli mgeni rasmi katika ufunguzi wa maadhimisho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam. Yenye kauli mbiu: Mazingira Wezeshi kwa Maendeleo na Jumuishi ya Viwanda, Kukuza Biashara na Ajira ndani ya Jumuiya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Salum Shamte mara baada ya kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la SADC) katika ufunguzi wa maonyesho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 5, 2019 kulia ni Charit Mwiya Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la SADC aliyemaliza muda wake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akipiga picha na wajumbe mbalimbali mara baada ya ufunguzi wa maonyesho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 5, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akiangalia burudani ya ngoma wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za SADC yanayofanyika jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...