Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana (Wapili kulia)
akimpatia maelezo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk.
Harison Mwakyembe (kushoto) baada ya kumpokea ofisini kwake, Waziri huyo
alipowasili kuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba
ya Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya
darasa hilo shule ya Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa
pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, jana. Katika Mahafali hayo Wanafunzi 33 wa Bethel School Ubungo na 19 wa
Msakuzi walikabidhiwa vyeti. Wanafunzi hao wanatarajiwa kufanya mtihani
wa kuhitimu darasa la saba na wenzao wa darasa hilo nchini kote,
Jumatano ijayo. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Shule hiyo Justine
Sangu.
Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana. akimpa kitabu cha
wageni Waziri Dk. Harison Mwakyembe kwa ajili ya kusaini baada ya
kuwasili.
Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana (kulia) akimwongoza
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe
kwenda eneo la tukio, baada ya kumpokea waziri huyo alipowasili kuwa
mgeni rasmi kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za Bethel
Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya
Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya
Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, jana. Wanafunzi hao
wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu darasa la saba na wenzao wa
darasa hilo nchini kote, Jumatano ijayo.
Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana (kulia) akimwongoza
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe
kwenda eneo la tukio, baada ya kumpokea waziri huyo alipowasili kuwa
mgeni rasmi kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za Bethel
Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya
Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya
Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam,jana.
Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana (Kulia) akimpatia
maelezo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison
Mwakyembe kabla ya kuzindua jiwe la msingi la ujenzi wa Bwalo la chakula
la Wanafunzi wa Bethel International School, waziri huyo alipowasili
kuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za
Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo
shule ya Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye
Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, jana.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe
akizindua jiwe la msingi la ujenzi wa Bwalo la chakula la Wanafunzi wa
Bethel International School, waziri huyo alipowasili kuwa mgeni rasmi
kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za Bethel Mission ya
Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya Bethel
Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel
Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam,jana .
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe
akizungumza baada ya kuzindua jiwe la msingi la ujenzi wa Bwalo la
chakula la Wanafunzi wa Bethel International School, waziri huyo
alipowasili kuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya
Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya
darasa hilo shule ya Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa
pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam,
jana .
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe
akitazama eneo ambalo ujenzi wa Bwalo hilo la chakula la Wanafunzi wa
Bethel International School unafanyika, waziri huyo alipowasili kuwa
mgeni rasmi kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za Bethel
Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya
Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya
Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, jana
Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana (kulia) akimwongoza
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe
kwenda eneo la tukio la sherehe za mahafali, , baada ya kumpokea waziri
huyo alipowasili kuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la
saba ya Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza
ya darasa hilo shule ya Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa
pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es
Salaam,jana

"Hawa ndiyo wahitimu wenyewe?" Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Dk. Harison Mwakyembe akiuliza alipowaona wanafunzi wa darasa la
saba alipowasili kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za
Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo
shule ya Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye
Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, jana
"Watoto hamjambo?" Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe akiwasalimia wanafunzi hao
Wanafunzi wa darasa la saba na chekechea wakimlaki kwa nyimbo Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe alipowasili
kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za Bethel Mission ya
Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya Bethel
Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel
Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, jana
Wanafunzi wa darasa la saba na Chekechea wakimlaki kwa nyimbo Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe alipowasili
kwenye Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za Bethel Mission ya
Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya Bethel
Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel
Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, jana
Waziri Dk. Mwakyembe akifuatana na Ndugu Mshana wakati akiwasili eneo la shughuli ya mahafali hayo. Kulia ni Ndugu Sangu.
Wazazi na wageni waalikwa wakishangilia wakati Waziri Dk. Mwakyembe akiwasili eneo la shughuli ya Mahafali.
Wazazi na wageni waalikwa wakiwa wamesimama wakati Waziri Dk. Mwakyembe akiwasili eneo la shughuli ya Mahafali.
Wanafunzi wa darasa la saba Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi
na Bethel Mission Mbezi Msakuzi, wakiingia ukumbini tayari kwa shughuli
za mahafali yao yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission
Ubungo Makuburi, Dar es Salaam,jana.
Waziri Dk. Mwakyembe akiwa amesimama pamoja na meza kuu kuwalaki ukumbini wanafunzi hao.
Waziri Dk. Mwakyembe akishiriki kuimba wimbo wa Taifa mwanzoni wa shughuli za mahafali hayo.
Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana akimsikiliza kwa makini
Waziri Dk. Mwakyembe wakati akielezwa jambo wakati wa mahafali hayo.
Baadhi ya Wazazi wakiwa kwenye mahafali hayo
Wanafunzi wa darasa la saba Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi
na Bethel Mission Mbezi Msakuzi, wakitoa burudani ya wimbo wakati
wamahafali yao yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission
Ubungo Makuburi, Dar es Salaam,jana

Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana akizungumza
Wanafunzi wa darasa la saba Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi
na Bethel Mission Mbezi Msakuzi, wakitoa burudani ya wimbo wakati
wamahafali yao yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission
Ubungo Makuburi, Dar es Salaam,jana
Wawakilishi wa wanafunzi wa darasa la saba wakisoma risala wakati wa mahafali hayo.
Wanafunzi hao wakimkabidhi risala yao waziri Dk. Mwakyembe baada ya kuisoma.
Wanafunzi wa darasa la saba Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi
na Bethel Mission Mbezi Msakuzi, wakitoa burudani ya wimbo wakati
wamahafali yao yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission
Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, jana
Waziri Dk. Mwakyembe na viongozi wa meza kuu wakishangilia bada ya
kuvutiwa na namna wahitimu wa tarajiwa wa darasa la saba Shule za Bethel
Mission ya Ubungo Makuburi na Bethel Mission Mbezi Msakuzi, walivyokuwa
wakitoa burudani ya wimbo wakati wamahafali yao yaliyofanyika kwa
pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam,
jana
Meneja wa Bethel Mission School akitoa hotuba wakati wa mahafali hayo.
Kushoto ni Waziri Dk. Mwakyembe na kulia ni Mtunza hazina wa Kanisa la
International Mission Society of Seventy Adventist Church Kanda ya
Afrika Mchungaji Perminar Shirima.
Kiongozi wa Kanisa la International Mission Society of Seventy
Adventist Church Mchungaji Bright Fue akimkaribisha Dk. Mwakyembe
kuzungumza.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Mwakyembe akihyutubia
kwenye mahafali hayo. Dk. Mwakyembe alionyesha kuvutiwa na wanafunzi wa
darasa la saba kwa namna walivyoonyesha vipaji na weledi mkubwa katika
kuzungumza kiingereza. Aliipongeza shule hiyo kwa kazi nzuri ya
kueleimisha watoto huku ikijikita pia katika kuwalea vizuri kimaadili.
Kutokana na kukunwa na shule hiyo aliahidi Wizara yake kutoa sh. milioni
5 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa Bwalo la wanafunzi kwenye shule ya
Bethel Mission Ubungo.
Waziri Dk. Mwakyembge akishauriana jambo na Kiongozi wa Kanisa la
International Mission Society of Seventy Adventist Church Mchungaji
Bright Fue KUKABIDHI VYETI KWA WAHITIMU⇓

Waziri Dk. Mwakyembe akionyesha zawaidi baada ya kukabidhiwa na Meneja
wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana wakati wa mahafali hayo
Waziri Dk. Mwakyembe akipokea zawaidi ya shati baada ya kukabidhiwa na
Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana wakati wa mahafali hayo
Waziri Dk. Mwakyembe akipokea zawaidi ya kitabu cha tiba kutoka kwa
Kiongozi wa Kanisa la International Mission Society of Seventy Adventist
Church Mchungaji Bright Fue
Waziri Dk. Mwakenye na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja
na wahitimu wa Chekechea wa Bethel Mission School Ubungo wakati wa
mahafali hayo
Waziri Dk. Mwakenye na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja
na wahitimu watarajiwa wa Darasa la saba wa Bethel Mission School Ubungo
na Mbezi Msakuzi, wakati wa mahafali hayo
Waziri Dk. Mwakenye akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Bethel
Mission School na baadhi ya wageni waalikwa mwishoni wa shughuli za
mahafali hayo.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...