Afisa Mtendaji Mkuu wa
ALAF Limited,Dipti Mohanty (watatukushoto) na Waka la wausambazaji wa bidhaa za
ALAF Kigamboni, Abdalaah Scabascuba wakikatautepe kuzindua Duka la vifaa vyaUjenzi la ARAF
lililozinduliwa leo Feri Kigamboni jijini Dar es Salaam.Kuliani Afisa Rasilimli Watu
wa Kampunihiyo, Petro Kapembwana Mkuu wa masokonamauzo, Anurag Mishra.
Afisa MtendajiMkuuwa
ALAF Limited, Dipti Mohanty na Afisa Rasilimliwatu wa Kampunihiyo, Petro
Kapembwa wakionyeshana jambo hukuwakiangalia vibanda vilivyojengwa kwabidhaa za
ARAF marabaada ya yauzinduziwa duka la bidhaa za ujenzi(Roof Gallery)
lililozinduliwa leo Feri Kigamboni jijini Dar es Salaam.
AfisaMtendaj iMkuu wa ALAF Limited, Dipti Mohanty akizungumza na wanahabari na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakatiwauzinduzi wa Duka la bidhaa za ujenzi za Kampuniya ALAF(Roof Gallery) lililozinduliwa leo Feri Kigamboni jijini Dar es Salaam
Picha ya pamoja
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...